Je unajua kuwa zimebakia siku 4 pekee za kuanza kumsaka bingwa wa Laliga Hispania?. Basi anza safari yako ya ushindi ukiwa na wakali wa ubashiri Tanzania tengeneza jamvi lako la kuchagua mshindi wako unayeona atanyakua taji hilo mwisho wa msimu.
Real Madrid ndio ambao wanapewa nafasi ya kwanza kabisa kuchukua taji hili wakiwa na wa ODDS 1.77. Msimu uliopita walimaliza nafasi ya 2 na kikosi hiki ambacho kinaongozwa na kocha mkuu Xabi Alonso waliamua kuongeza wachezaji wapya kikosini hapo akiwemo Trent, Dean Huijsen, Alvaro Fernandez na wengine wengi. Kwa kikosi ambacho wanacho Real kama vile Mbappe, Vini, Bellingham , wanaweza kuchukua taji hilo?. Bashiri hapa.
Huku kwa nafasi ya pili amepewa FC Barcelona ambao ndio mabingwa watetezi wa kombe hilo ambalo walilichukua wakiwa na wachezaji vijana wadogo wenye uchu akiwemo Lamine Yamal, Pedri, Gavi, Raphinha, Balde na wengine wengine. Timu hii ikiwa chini ya kocha mkuu raia wa Kijerumani, Hans Flick ambaye aliweza kumfunga Real Mechi zote walizokiutana nazo yaani 4. Meridianbet wamempa Barca ODDS 2.10 kushinda ubingwa. Je wewe unampa nani pesa yako?. Jisajili hapa.
Mkwanja mrefu huu hapa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Atletico Madrid chini ya Simeone Diego wao wanapewa nafasi ya 3 kuondoka na taji la ligi kuu ya Hispania. Timu hii msimu uliopita walimaliza nafasi ya 3 wakiwa na pointi zao 76. Klabu hii msimu uliopita likuwa na uwezo wa kumaliza kinara au hata nafasi ya 2 lakini kutokana na kukosa mwendelezo mzuri wa matokeo ikaishia nafasi hiyo. Msimu huu pia Meridianbet wanaipa nafasi ya 3 kumaliza ligi. Je Diego na vijana wake wataishia nafasi ya ngapi?. 8.95 ndio ODDS za timu hii kuchukua ubingwa. Tengeneza jamvi hapa.
Nao Villarreal wanapewa nafasi ya 4 wakiwa na ODDS 51 pekee, huku msimu uliopita waliweza kumaliza nafasi ya 5. Nyambizi wa Njano ni moja kati ya timu ambazo ni za daraja la kati huku wakiwa ni wagumu endapo timu zingine kubwa zikiingia kwenye mfumo huweza kupoteza mechi. Chini ya kocha mkuu Marcelino Garcia klabu hii inatarijiwa kufanya vyema msimu ujao. Je Villarreal msimu ujao wanaweza kuchukua ndoo?. Bashiri hapa.
Vilevile timu inayopewa nafasi ya kuchukua taji la ligi kuu ya Hispania ni Athletic Bilbao ambao pia ni moja ya timu ambazo zina wachezaji wazuri na wana kiwango kizuri kabisa cha kupambania ligi kuu. Bilbao ina wachezaji wenye ubora akiwemo Inak Williams, Nico Williams, Dani Vivian, Yeray Alvarez na wengine kibao. Kushinda ubingwa wa Laliga timu hii imepewa ODDS 51. Beti yako unaiweka wapi?. Jisajili hapa.
Vijana wa Manuel Pellegrin Real Betis Seville wamewekwa nafasi ya 6 kuwania taji la ligi kuu ya Hispania wakiwa na ODDS 67. Timu hii ambayo inapatikana Kusini mwa Hispania inatumia uwanja wa Estadio de la Cartuja huku wakiwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa akiwemo Cucho Hernandez, Giovani Lo Celso, Isco na wengine kibao. Je unadhani Betis anaweza kushinda Laliga?. Beti hapa.