
KIUNGO WA SIMBA SC KUIBUKIA AZAM FC
SADIO Kanoute kiungo wa kazi ambaye aliwahi kucheza katika kikosi cha Simba SC muda wowote atatambulishwa na matajiri wa Dar Azam FC baada ya kukamilisha masuala ya vipimo ili awe hapo ndani ya msimu wa 2025/26. Kaonoute tayari yupo kwenye ardhi ya Tanzania aliwasili Agosti 10 2025 kwa ajili ya kukamilisha masuala ya usajili ndani…