HAWA HAPA WAPINZANI WA YANGA SC KIMATAIFA

Kwene anga la kimataifa Yanga SC ya Tanzania katika anga la kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa kucheza na Klabu ya Wiliete Benguela ya Angola.

Ni katika droo ya hatua za awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika ambayo imechezwa Agosti 9 2025.

Droo hiyo imefanyika katika studio za Azam TV, Dar. Kati ya Septemba 19-21 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa.

Yanga SC inatarajiwa kuelekea Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sport. Timu hiyo pia ipo katika Kombe la Shirikisho Afrika.

Rayon Sports ya Rwanda kwenye anga la kimataifa imepangwa kucheza na Singida Black Stars ambapo ni Singida Black Stars watakuwa ugenini.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.