
VIDEO: TANZANIA VS MADAGASCAR MASHABIKI WAITWA KWA MKAPA
TANZANIA vs Madagascar, CHAN 2024, Uwanja wa Mkapa mashabiki wameitwa kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu mwanzo mwisho.
TANZANIA vs Madagascar, CHAN 2024, Uwanja wa Mkapa mashabiki wameitwa kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu mwanzo mwisho.
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba SC 2025/26 Jonathan Sowah raia wa Ghana ametuma ujumbe kwa mashabiki kwa kubainisha kuwa watafurahi msimu mpya. Nyota huyo yupo kambini nchini Misri chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Sowah alitambulishwa ndani ya kikosi cha Simba SC akitokea Singida Black Stars. Msimu wa 2024/25 alifunga jumla ya magoli 13. Katika mabao…
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC Yanga SC wanatarajiwa kuelekea Rwanda. Timu hiyo inaenda Rwanda kwa mualiko maalum kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Mchezo huo unatarajiwa kuwa dhidi ya kikosi cha Rayon Sports. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amesema: “Hivi karibuni tulizindua kampeni ya Tofali la ubingwa. Hii…