Meridianbet kwa mara nyingine imeleta burudani mpya kupitia mchezo pendwa wa Super Heli, mchezo wa kasino ya mtandaoni unaokupeleka angani na kukuacha ukishuka na zawadi za nguvu. Ikiwa na muundo wa kuvutia unaofanana kwa mbali na ule wa Aviator, Super Heli imeboreshwa kwa kupewa muonekano mpya, dau la kirafiki kwa kila mtu, na zawadi kubwa yenye mvuto, simu janja ya Samsung Galaxy A25.
Kwa wale wanaopenda ushindani na zawadi halisi, huu ni wakati wako kung’ara. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Agosti, Meridianbet inakuletea promosheni hii kabambe ambapo kila wiki, washindi wawili watajinyakulia simu mpya kabisa, na siku rasmi ya kutoa zawadi ni kila Jumatatu.
Unajiuliza kwanini ucheze Super Heli, jibu ni kwamba Super Heli inakupa mandhari ya kisasa, unapaisha helikopta angani kwa uchezaji unaosisimua zaidi. Ushindi mkubwa kwani kadri unavyodumu angani, ndivyo ushindi unavyoongezeka. Bonasi lukuki maana mchezo huu unakuja na zawadi mbalimbali za kasino ndani ya mchezo, na mwisho kabisa, unaweza kuanza na kiwango chochote cha dau, hivyo kila mtu ana nafasi sawa ya kushinda.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kushiriki ni vyepesi sana, fungua akaunti Meridianbet kupitia meridianbet.com au app ya simu, ingia kwenye mchezo wa Super Heli ndani ya kasino ya mtandaoni, weka dau lako na cheza mara nyingi kadri uwezavyo, subiri siku ya Jumatatu huenda ukawa mshindi wa simu mpya.
Usikubali wiki ipite bila wewe kuingia kwenye nafasi hii adhimu. Simu mpya bila kutumia hela ya kununua? Ndio, inawezekana kupitia Super Heli ya Meridianbet. Jisajili sasa na usubiri zawadi yako siku ya Jumatatu