
MOHAMED HUSSEN ZIMBWE JR NI NJANO NA KIJANI
USIKU wa kuamkia Agosti 6 2025, Mohamed Hussen Zimbwe Jr aliyekuwa nahodha wa Simba SC 2024/25 ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Yanga SC. Zimbwe Jr beki wa kazi ndani ya Simba SC msimu wa 2024/25 upande wa kushoto alikuwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Fadlu Davids. Anatambulishwa Yanga SC akiwa mchezaji huru…