Skip to content
August 3, 2025
  • WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA UFUNGUZI MICHUANO YA CHAN 2024
  • TANZANIA YAFUNGUA CHAN KWA USHINDI, WAKOMBA MAMILIONI YA MAMA
  • CAF YAMFUTA KAZI MKURUGENZI MKUU WA WAAMUZI KUFUATIA SAKATA LA FAINALI YA WAFCON YA WANAWAKE
  • YANGA YAMTAMBULISHA CÉLESTIN ECUA KUTOKA IVORY COAST

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • August
  • 3

August 3, 2025

  • Featured
  • Sports

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA UFUNGUZI MICHUANO YA CHAN 2024

Saleh14 minutes ago01 mins

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Agosti 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano ya CHAN 2024, katika Dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Katika mchezo wa ufunguzi Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inachuana na Burkina Faso. Michuano hiyo inafanyika katika nchi za Tanzania, Kenya…

Read More
  • Sports

TANZANIA YAFUNGUA CHAN KWA USHINDI, WAKOMBA MAMILIONI YA MAMA

Saleh47 minutes ago44 minutes ago03 mins

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefungua pazia la CHAN 2024 kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina Faso mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa Agosti 2 2025 mbele ya mashabiki waliojitokeza kushuhudia burudani hiyo. Mabao yamefungwa na Sopu dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti iliyosababishwa na Clement Mzize katika mchezo wa kundi…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2025. Powered By BlazeThemes.