
CAF YAMFUTA KAZI MKURUGENZI MKUU WA WAAMUZI KUFUATIA SAKATA LA FAINALI YA WAFCON YA WANAWAKE
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limemfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Waamuzi, Désiré Noumandiez Doué, kwa makosa yaliyofanywa katika Kombe la Afrika la Wanawake. Haya yanajiri baada ya Shirikisho la soka la Morocco (FRMF), kuwashutumu Waamuzi akiwemo Mukansanga Salima na Umutesi Alice kwa kuchezesha isivyo Fainali ya Kombe la Afrika kwa Wanawake. Mukansanga Salima…