BAADA ya uzinduzi wa kitabu cha Moyo Wangu Unavuja Damu kufanyia rasmi na kuingia sokoni, Julai 24 2025 Makao Makuu ya Global Group, Sinza, Mori ikiwa ni kazi ya pili kutoka kwa mtunzi wa kitabu cha Ganzi ya Maumivu, Lunyamadzo Mlyuka nakala ya kitabu kipya inauliziwa kila kona ya Tanzania.
Ikumbukwe kwamba kitabu hiki kinazungumzia suala la jitihada za kupambania malengo na yaliyojificha nyuma ya familia kwenye malezi na maisha ya Kiafrika. Kijana Christopher kutoka familia duni jitihada zake zilikutana na vikwazo kwenye kufikia malengo yake.
Mbali na hilo kuna zawadi nyingine ya kitabu cha Tabasamu ndani ya kazi ya Moyo Wangu Unavuja Damu, hii ni kwa ajili yako usikubali kuikosa ipo mtaani sasa. Hivyo ni vitabu viwili ndani ya kitabu kimoja utasoma msomaji kwa wakati huu.
Miongoni mwa sehemu ambazo zimeulizia kupata nakala ya Moyo Wangu Unavuja Damu ni Kibaha, Tabora, Njombe, Arusha na Kigoma.
Ukweli ni kwamba popote ulipo kuna uwezekano mkubwa wa kupata nakala yako kwa wakati na ukaongeza maarifa kwa kusoma yale yaliyomo kwenye vitabu vya Mtunzi Lunyamadzo Mlyuka.
Ninaomba oda yako kwa Soft Copy na Hard Copy kupitia namba hii +255 756 028 371, email 📧thisisdizo444@gmail.com