YANGA SC HAITAKI UTANI YATAMBULISHA WAPYA WANNE
ISRAEL Mwenda beki wakupanda na kushuka bado atakuwa ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz nakufanya kuwa na wapya wanne ndani ya Julai 29 waliotangazwa Yanga SC. Mwenda alitambulishwa Yanga SC kwenye dirisha dogo akitokea Singida Black Stars kwa mkopo kutokana na kuwa kwenye kiwango bora mabosi wa Yanga SC…