MARCIO MAXIMO ATANGAZWA KOCHA MKUU MPYA WA KMC FC

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Marcio Maximo ametambulishwa kama kocha mkuu mpya wa klabu ya KMC FC akichukua mikoba ya Kally Ongala aliyetupiwa virago mwezi Mei kutokana na mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo. Maximo (63) raia wa Brazil ambaye pia amewahi kuinoa Young Africans Sc anakumbukwa zaidi kwa kuiwezesha Taifa Stars…

Read More

AS FAR RABAT YAAGANA RASMI NA HENOCK INONGA BAKA

Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja pekee. Kupitia taarifa rasmi ya klabu hiyo, AS FAR imeuthibitisha kuachana na beki huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa heshima na shukrani kwa mchango wake katika kikosi…

Read More

UBINGWA WA CECAFA WALETA MATUMAINI KUELEKA CHAN, FA AFUNGUKA

NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kwa jina la FA amebainisha kuwa timu ya Tanzania ipo vizuri. Hayo alisema mara baada ya Tanzania kupata ushindi dhidi ya Uganda. Mwinjuma amesema kwenye mpira wa miguu lolote linaweza kutokea. Ikumbukwe kwamba kwenye mashindano maalumu ya CECAFA ambayo yalishirikisha timu tatu, Tanzania, Uganda…

Read More

SIMBA SC YAPASWA KUJIVUNIA MWAMBA HUYU HAPA

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa Fadlu yupo likizo ila anafanya kazi kwa moyo mkubwa akiwa Tanzania. “Katika vitu ambavyo tunapaswa kujivunia kwa hali na mali Wanasimba ni uwepo wa Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Yupo likizo lakini alitoka Afrika Kusini na kuelekea Dubai kuongea na Mo. “Kwa sasa…

Read More

KIUNGO MKENYA NI NJANO NA KIJANI MPAKA 2027

YANGA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz imemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wa kazi Duke Abuya raia wa Kenya. Abuya ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa katika kikosi cha Yanga SC kilichotwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2024/25 kikiwa na pointi 82 kibindoni baada ya mechi 30. Ni mechi 27 alicheza akikomba dakika 1,496…

Read More