
HUYU NI KOCHA MPYA YANGA SC CV YAKE
ROMAIN Folz kocha mpya wa Yanga SC ana balaa zito akiwa ni kocha kijana. Kocha huyo ni mrithi wa mikoba ya Miloud Hamdi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC 2024/25. Miloud alipewa Thank You Julai 3 2025 hivyo hatakuwa ndani ya Yanga SC msimu wa 2025/26 amepata changamoto mpya Klabu ya Ismaily SC ya Misri….