
NAMBA 8 MPYA WA YANGA SC LASSINE ANATAKA KUTEMBEZA 5 G
LASSINE Kouma kapewa jezi namba 8 ambayo iliwahi kuvaliwa na mastaa wakubwa katika kikosi hicho akiwemo Haruna Niyonzima kiungo aliyekuwa anafanya watu wadhani mpira ni kazi rahisi. Kouma mwenye miaka 21 anazima dili la Yanga SC kuiwinda saini ya Feisal Salum wa Azam FC ambaye ana nguvu kubwa katika mguu wake wa kulia. Katika Ligi…