IJUMAA YAKO, MAMILIONI YAKO. BONASI YA UAMINIFU KUTOKA MERIDIANBET

Katika ulimwengu wa kubashiri na michezo ya kasino, ushindani ni mkubwa lakini Meridianbet imejihakikishia nafasi ya kipekee kwa kutoa huduma bora na zawadi kabambe kwa wateja wake. Na sasa, kama mteja waaminifu wa Meridianbet, unayo sababu kubwa ya kutabasamu kila Ijumaa. Kampuni hii inayoongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania imezindua bonasi ya kipekee ya uaminifu kwa wiki, inayojulikana kama Loyalty Pays.

Meridianbet imeitenga Ijumaa kuwa siku ya kuwazawadia wale wanaoitumia kwa moyo wote, yaani wateja waaminifu wanaojihusisha na michezo ya kasino kila siku. Kwa kila wiki, Meridianbet inatoa bonasi za kasino zenye thamani ya hadi TSH 10,000,000 kwa wateja waliotumia jukwaa lao kwa kiwango kikubwa. Ni fursa ya kipekee ya kurudishiwa zawadi kwa kutumia muda na pesa zako kwenye michezo unayoipenda.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kushiriki katika bonasi hii ni rahisi mno. Unachotakiwa kufanya ni kuwa na akaunti iliyosajiliwa ya Meridianbet kupitia tovuti au app yao rasmi. Kisha unacheza michezo mbalimbali ya kasino kwa kutumia pesa taslimu kuanzia Ijumaa hadi Alhamisi saa 5:00 usiku. Bonasi zako zitazingatiwa kulingana na kiwango cha matumizi yako ya kila siku.

Ili kupata bonasi, hakikisha unacheza kwa kiwango cha chini cha TSH 50,000 kwa siku, kwa siku zote saba za wiki. Hii inakuwezesha kujikusanyia pointi nyingi huku kila pointi ikiwa na thamani ya TSH 2,500. Bonasi kubwa zaidi huwenda kwa wale waliokusanya pointi nyingi, ambazo hutegemea aina ya mchezo na kiwango cha dau lako.

Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa dau lolote lililowekwa bila kutumia cash, yaani lile lililowekwa kwa kutumia bonasi halitahesabiwa kwenye zawadi. Na bonasi yoyote utakayopata siku ya ijumaa, basi itahitajika kuchezwa mara 50 kwenye michezo ya slots kabla ya kugeuzwa kuwa pesa taslimu huku kiasi cha juu unachoweza kutoa kama ushindi kutoka kwenye bonasi moja ni TSH 150,000 pekee.

Orodha ya washindi wa bonasi ya uaminifu watakua wakitangazwa kila Ijumaa saa 9:00 alasiri na washindi watajulishwa mara moja na bonasi kuwekwa moja kwa moja kwenye akaunti zao.

Kuhakikisha uwazi na uadilifu, Meridianbet imejikita kuhakikisha promosheni hii inafanyika bila udanganyifu. Kwa hiyo, wanahifadhi haki ya kusitisha, kubadilisha au kuondoa mshiriki yeyote atakayekiuka masharti au kutumika vibaya kwa njia yoyote ile.

Ni wakati wako kuwa loyal, jisajili Leo. Ikiwa wewe ni mpenzi wa michezo ya kasino na ungependa kuona faida ya muda na pesa zako, basi huu ni wakati wa kujiunga na Meridianbet. Usikubali wiki ipite bila kuwania sehemu yako ya mamilioni.