
KINDA HATARI WA UHISPANIA ATUA ARSENAL, MOSQUERA AANIKA NDOTO ZAKE!
Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kumsajili beki kinda mwenye kipaji, Cristhian Mosquera, kutoka klabu ya Valencia ya Hispania kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia Euro milioni 15 . Mosquera, mwenye umri wa miaka 21, amesaini mkataba wa miaka mitano na chaguo la kuongezewa mwaka mmoja zaidi, ikiwa ni ishara kuwa kocha Mikel Arteta ana mpango…