
KOCHA WA KIMATAIFA APOKELEWA JANGWANI KAMA MFALME
Klabu ya Yanga SC imemtambulisha rasmi Romain Folz, kocha raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 35, kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo. Utambulisho huu unakuja baada ya aliyekuwa kocha, Miloud Hamdi, kutimkia klabu ya Ismaily ya nchini Misri. Romain Folz, ambaye ni mzaliwa wa Bordeaux, Ufaransa, anakuja na wasifu mzito uliopambwa na uzoefu…