Kama kuna jambo linalosisimua hivi sasa katika ulimwengu wa burudani ya kubashiri, basi ni uzinduzi wa huduma mpya ya Early Payout kutoka Meridianbet. Hili si jambo la kawaida bali ni mapinduzi halisi katika namna tunavyobashiri soka, na tayari limepokelewa kwa shangwe na wapenda michezo kote nchini Tanzania.
Early Payout ni huduma inayokupa nafasi ya kushinda mapema zaidi kuliko ulivyowahi kufikiria. Kwa lugha nyepesi, ukibashiri timu fulani kushinda na ikiongoza kwa mabao mawili, beti yako inahesabiwa kuwa imeshinda papo hapo. Hii ni hata kabla filimbi ya mwisho kupulizwa.
Kwa mashabiki wengi wa soka, kuna nyakati ambapo timu yako inaanza vizuri na kuongoza kwa mabao mawili, lakini bahati mbaya wanaishia kupoteza au kutoa sare katika dakika za mwisho. Sasa Meridianbet imetatua tatizo hilo, hakuna tena presha ya dakika za lala salama. Ukishafunga tu bao la pili, mzigo unatema hapohapo.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Huduma hii kwa sasa inapatikana kwenye mechi kubwa za mpira wa miguu kwa maana ligi kubwa kama vile EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga na zinginezo. Na si hivyo tu, kuna mipango kabambe ya kuipanua huduma hii hadi kwenye basketball, tennis na ice hockey. Hili linaonesha dhamira ya Meridianbet ya kuendelea kuwa mbele kwenye ubunifu.
Cha kuvutia zaidi ni kwamba mechi zilizo kwenye mpango wa Early Payout zinaoneshwa wazi kwa alama ya kijani kwenye orodha ya matukio, tiketi ya beti na hata sehemu ya dau. Hakuna usumbufu, kila kitu kiko wazi kwa kila mchezaji.
Ingawa Early Payout bado haipatikani kwenye mechi zinazokuwa zikiendelea (live), bado si tatizo kwani una chaguo la kutumia cash out kama njia mbadala. Kumbuka pia kuwa odds za Early Payout ni kidogo zaidi kwa sababu hatari imepunguzwa lakini bado unapata ushindi mapema na kwa uhakika.
Kwa hivyo rafiki, huu si wakati wa kukaa pembeni. Ikiwa una ujasiri wa kuamini timu zako zinaweza kusababisha show mapema, basi Early Payout ni huduma yako. Tembelea meridianbet.co.tz au fungua app ya Meridianbet, tafuta mechi zilizo na alama ya kijani, piga bet yako na jipatie ushindi kabla hata mechi haijamalizika.