
BARCELONA YAKARIBIA KUKAMILISHA USAJILI WA RASHFORD KWA MKOPO
Klabu ya FC Barcelona imefikia makubaliano ya awali na Manchester United kwa ajili ya kumsajili Marcus Rashford kwa mkataba wa mkopo, ikiwa ni hatua kubwa kuelekea usajili wa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa England kuelekea La Liga. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na klabu hizo, mazungumzo ya awali yamekuwa mazuri na ya kuleta matumaini,…