
MAN UNITED YAMNYAKUA MBEUMO KUTOKA BRENTFORD KWA DAU LA REKODI
Manchester United imefikia makubaliano na Brentford kumsajili winga wa kimataifa wa Cameroon, Bryan Mbeumo, kwa dau la pauni milioni 65, linaloweza kupanda hadi pauni milioni 70 kutokana na nyongeza ya pauni milioni 5. Mbeumo, mwenye umri wa miaka 25, anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu kabla ya kujiunga rasmi na kikosi cha kocha Ruben Amorim, ambacho…