
SIMBA SC KUFANYA USAJILI MKUBWA KUELEKEA MSIMU MPYA
KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26, Simba SC wamebainisha kuwa watafanya usajili mkubwa kupata timu imara ya ushindani kitaifa na kimataifa. Ipo wazi kuwa Aishi Manula ambaye ni kipa huyu atakuwa ndani ya Azam FC, Omary Omary amepelekwa kwa mkopo Mashujaa FC, Fabrince Ngoma mkataba wake umeisha, Kelvin Kijili atakuwa ndani ya Singida Black Stars ni…