MWAMBA HUYU WA KAZI KUSAINI YANGA SC

INAELEZWA kuwa Celestin Ecua ambaye ni kiungo wa Zoman FC huenda akasaini mkataba wa miaka miwili kuwa katika kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC. Yanga SC baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 walikusanya jumla ya pointi 82 ikiwaacha watani zao wa jadi Simba SC kwa tofauti ya pointi…

Read More

FEISAL ATACHEZA TIMU HII 2025/26

FEISAL Salum kiungo mshambuliaji wa Azam FC kuna asilimia ndogo kuondoka kwenye viunga hivyo kutokana na dau ambalo mabosi wamemuongezea kuelekea msimu wa 2025/25. Taarifa zilikuwa zinaeleza kuwa kiungo huyo asilimia kubwa ataondoka hapo na timu ambayo ilikuwa inatajwa kwa ukaribu ilikuwa ni Simba SC. Mkataba wake na Azam FC ni mwaka mmoja umebaki hivyo…

Read More

SHOMARI KAPOMBE MKATABA WAKE UMEISHA SIMBA SC, KAZI IPO

SHOMARI Kapombe beki wakupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba SC mkataba wake umegota mwisho na hajaongeza mkataba mwingine huku ikielezwa kuwa huenda akaondoka. Kapombe ndani ya kikosi cha Simba SC kwenye mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 alicheza mechi 27 akaikomba dakika 2,095. Katika mabao 69 ambayo Simba SC imefunga kahusika kwenye mabao…

Read More