ZIMBWE JR KUONDOKA SIMBA SC? NGOMA ISHAKUWA NGUMU

NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen Zimbwe Jr kuna hatihati huenda akaondoka ndani ya kikosi hicho baada ya kanadarasi yake kugota mwisho msimu wa 2024/25. Zimbwe kwenye ukurasa wake rasmi wa Instgarm ameondoa utambulisho wake kuwa ni mchezaji wa Simba SC. Ipo wazi kwamba kwa sasa yupo huru akiwa hajaongeza mkataba na mabosi wake hao…

Read More

YANGA SC YAMALIZANA NA BEKI WA KAZI

INAELEZWA kuwa Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 likiwa ni taji lao la 31 wamekamilisha usajili wa staa wa kimataifa wa Guinea, Balla Moussa Conte Conte ni staa wa kimataifa wa Guinea ambaye anakipiga kwenye Klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia. Taarifa zinaeleza kuwa Yanga SC ndiyo ilikuwa timu ya…

Read More

MERIDIANBET YAZINDUA FURSA KUBWA KWA POKER, FESTIVAL MALTA 2025

Meridianbet Tanzania imezindua rasmi qualifiers za Festival Malta 2025 kupitia jukwaa la Playtech Poker, ikikutanisha wachezaji wa Tanzania na fursa ya kushinda package yenye thamani ya TZS 5,550,000, ikijumuisha tiketi ya Main Event Malta, malazi, na pesa taslimu. Kampeni hiyo inaanza Julai 14 na itaendelea hadi Septemba 8, 2025, na qualifiers zinafanyika kila siku kupitia…

Read More