ZIMBWE JR KUONDOKA SIMBA SC? NGOMA ISHAKUWA NGUMU

NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen Zimbwe Jr kuna hatihati huenda akaondoka ndani ya kikosi hicho baada ya kanadarasi yake kugota mwisho msimu wa 2024/25. Zimbwe kwenye ukurasa wake rasmi wa Instgarm ameondoa utambulisho wake kuwa ni mchezaji wa Simba SC. Ipo wazi kwamba kwa sasa yupo huru akiwa hajaongeza mkataba na mabosi wake hao…

Read More

SIMBA SC BADO IPO KWENYE MCHAKATO WA KUJENGA KIKOSI

SIMBA SC iliyogotea nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC 2024/25 bado ipo kwenye mchakato wa kuendelea kujenga kikosi. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 ndani ya ligi namba nne kwa ubora bingwa ni Yanga SC akitwaa taji la 31 chini ya kocha Miloud Hamdi ambaye hatakuwa katika kikosi hicho…

Read More

YANGA SC YAMALIZANA NA BEKI WA KAZI

INAELEZWA kuwa Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 likiwa ni taji lao la 31 wamekamilisha usajili wa staa wa kimataifa wa Guinea, Balla Moussa Conte Conte ni staa wa kimataifa wa Guinea ambaye anakipiga kwenye Klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia. Taarifa zinaeleza kuwa Yanga SC ndiyo ilikuwa timu ya…

Read More