DAU DOGO TUU LIMEBADILI MAISHA YA DERICK NA MERIDIANBET

Katika ulimwengu wa ubashiri, kila dau ni nafasi ya kubadili maisha. Na kwa Derick ilikuwa hivyo hivyo baada ya wikendi iliyopita kujipigia mshindo wa maana wa Milioni 5 na zaidi ndani ya Meridianbet.

Ushindi huu ni ukumbusho kuwa Meridianbet sio tu sehemu ya burudani, bali pia Kampuni ya ubashiri ambayo inaweza kukupatia mafanikio endapo utaweza kubeti mechi zako kwa usahihi kabisa.

Derick hakuhitaji mamilioni kuanza alihitaji tu buku moja, maarifa kidogo ya michezo, na bahati. Leo hii, maisha yake yamebadilika huku akifurahia kwa shangwe kabisa huku furaha yake ikiwa haina kifani.

Watu wengi huona ubashiri kama bahati nasibu, lakini kwa wale wanaofuatilia michezo, kufahamu takwimu, na kutumia akili, Meridianbet inawapa jukwaa halisi la kubadilisha ujuzi wao kuwa fedha taslimu.

Leo hii unaweza ukacheza michezo ya kasino kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kama inavyojulikana kuwa Meridianbet ndio wakali wa odds za kibabe akini si hivyo tuu, bali wana machaguo zaidi ya 1000 ambayo unaweza kuyapata kwenye timu ambazo unazichagua. Hivyo Derick aliamua kuchaguo machaguo kadhaa kwenye mechi zake ambazo zimemfanya aibuke bingwa.

Bingwa huyu alibashiri mechi 14 siku ya Ijumaa ambazo zote zikatiki huku akichanganya mechi za kirafiki, mechi za ligi mbalimbali, mechi za EURO kwa upande wa wanawake  na mechi nyingine nyingi.

Machaguo ambayo Derick aliweza kuweka na unaweza ukayapata ndani ya Meridianbet ni kama ifuatavyo, timu ishinde na magoli yaanzie mawili yaani Final Score& Total Goals (1.5), Total Goals 2.5 Over, Goals Combinations I 1+ & II 2+. Hayo ni baadhi ya machaguo ambayo mshindi huyo aliweka.

Mfano wa mechi ambazo alicheza ni kama York City vs Salford City, Evesham United vs Cheltenham Town, Portugal (W) vs Belgium (W), Reynir Sandgerdi vs KV Vesturbaer na nyingine kibao ambazo zilimfanya kuibuka bingwa.

Na wewe mteja wa Meridianbet hii ni nafasi yako ya kujaribu bahati yako sasa. Suka jamvi lako sasa kwani mechi kibao zinaendelea hasa mashindano ya wanawake ya EURO pamoja na CAF. Wakati ndio huu. Jisajili hapa.