ELLIE MPANZU KUONDOKA SIMBA SC? TIMU HII YATAJWA

WINGA wa Simba SC, Ellie Mpanzu anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wataondoka ndani ya kikosi cha Simba SC kutokana na ofa ambazo zipo mezani. Inaelezwa kuwa Klabu ya RS Berkane Waarabu wa Morocco wamekubali uwezo wa nyota huyo katika anga la kitaifa na kimataifa jambo linalotajwa kuwaleta Tanzania kufanya mazungumzo na Simba SC. Mpanzu…

Read More