
PANGA KUBWA MSIMBAZI, MAJINA SITA YAVUJA!
Klabu ya Simba imeanza rasmi mpango wa kusuka upya kikosi chake kwa msimu ujao kwa kufanya mabadiliko makubwa, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Kocha Mkuu Fadlu Davids na uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha wanarejea kwenye ubora wa juu kitaifa na kimataifa. Kwa mujibu wa taarifa zilizovuja kutoka ndani ya klabu hiyo, tayari wachezaji sita…