MERIDIANBET YAWALETEA WATEJA WAO ZAWADI BABKUBWA KUPITIA SUPER HELI

Kama hujawahi kusikia habari hii, basi unachelewa. Meridianbet wameamua kuwazawadia wateja wao kwa style ya kipekee kabisa kupitia promosheni mpya ya Super Heli, ambapo simu mpya za Samsung A25 zinasubiri tu kushikishwa washindi. Hii sio ndoto, ni fursa halisi ya kubeba zawadi kabambe, bila longolongo.

Kuanzia Julai 1 hadi Julai 31, kila mchezaji wa mchezo maarufu wa kasino mtandaoni, Super Heli, ana nafasi ya kujinyakulia moja kati ya simu nane mpya za kisasa kabisa. Na cha kufurahisha zaidi, kila Jumatatu, Meridianbet wanagawa simu mbili, kwa hiyo nafasi ya kushinda ipo wiki hadi wiki.

Lakini Super Heli ni nini hasa? Huu ni mchezo wa kipekee ambao unaanzishwa kwa wewe kuweka dau, kisha helikopta inaanza kupaa huku odds zikikua, yaani ushindi wako unaongezeka kadri inavyopanda. Lakini usipochukua dau lako kwa wakati (cash out), helikopta inaweza kulipuka na ushindi kupotea. Ni mchanganyiko wa burudani, akili, na msisimko wa hali ya juu.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni lakini pia una machaguo ya kutosha ukiwa unabashiri na Meridianbet, kila chaguo lina odds kubwa. Jisajili na Cheza.

Na sasa Meridianbet wameamua kuongeza utamu wa mchezo, yaani kama ni chakula basi wamekuongezea ladha kwa kutia “chumvi na pilipili” kwenye mchezo huu kwani wamekupa nafasi ya kupata simu ya bei mbaya kabisa bila kuongeza dau la ziada. Cheza tu Super Heli mara nyingi kadri uwezavyo na wewe unaweza kuwa miongoni mwa waliotangazwa washindi kila Jumatatu.

Kumbuka, unachotakiwa kufanya ni kuwa na akaunti ya Meridianbet, halafu anza kuendesha helikopta yako ya bahati. Hakuna mambo mengi, hakuna masharti magumu, ni wewe, simu yako, na Super Heli.

Usilale, Fungua akaunti sasa Meridianbet, cheza Super Heli kupitia tovuti au application ya meridianbet, halafu kaa mkao wa kushinda. Simu mpya inakusubiria wewe bingwa wa mabingwa.