BEKI MPYA WA SINGIDA BLACK STARS ATOA AHADI KUBWA

BEKI mpya wa Singida Black Stars, Kelvin Kijili ameweka wazi kuwa yupo tayari kwa ajili ya kupambana kutimiza majukumu kwenye timu hiyo kitaifa na kimataifa. Kijili ametambulishwa rasmi ndani ya Singida Black Stars Julai 10 2025 ikiwa ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa ndani ya Singida Black Stars. Msimu wa 2024/25 alikuwa ndani ya kikosi cha…

Read More

YANGA YAZINDUA KAMPENI YA “TOFALI LA UBINGWA” KWA AJILI YA USAJILI WA WACHEZAJI BORA

Dar es Salaam, Tanzania – Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Msemaji wake, Alikamwe, leo imezindua rasmi kampeni mpya iitwayo “Tofali la Ubingwa” inayolenga kuchangisha fedha kutoka kwa mashabiki na wanachama ili kusaidia timu katika usajili wa wachezaji wenye ubora wa hali ya juu. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Kamwe amesema kampeni hii ni sehemu…

Read More

KIUNGO WA KAZI YANGA SC KUONDOKA

KIUNGO wa kazi ndani ya Yanga SC, Clatous Chama yupo kwenye hesabu za mwisho kujiunga na Klabu ya Zesco United ambayo nahitaji huduma yake. Julai Mosi 2024, Chama alitambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga SC kwa kandarasi ya mwaka mmoja ambayo imegota mwisho. Inaelezwa kuwa alikuwa kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba wake ila kuna vipengele…

Read More