BILIONI 6 ZIPO MEZANI KWENYE PLAYSON SHORT RACES LEO

Fursa ya kujishindia zawadi kubwa kwa muda mfupi ni kitu adimu. Ndiyo maana mashindano mapya ya Playson Short Races ndani ya Meridianbet yameleta msisimko mpya kwa wapenzi wa michezo ya bahati. Kwa zawadi ya kuvutia ya hadi TZS Bilioni 6, haya si mashindano ya kawaida ni mbio za kweli za ushindi.

Tofauti na mashindano marefu yanayohitaji muda mwingi na subira, Playson Short Races ni mbio fupi za kila siku na kila wiki zinazowapa wachezaji nafasi ya kujishindia pesa taslimu papo hapo. Lengo ni moja tu: cheza michezo ya Playson, pata pointi, panda juu ya leaderboard na shinda sehemu ya mabilioni.

Mbinu ya kushiriki ni rahisi ambapo mchezaji anachohitajika kufanya ni kuingia kwenye akaunti yake ya kasino, kuchagua mchezo wowote unaoshiriki, kucheza kwa pesa halisi, na kila ushindi unampa pointi za kumpandisha kwenye ubao wa vinara. Kinachovutia zaidi ni kwamba zawadi hulipwa papo hapo, bila masharti ya mizunguko au vigezo vigumu. Huu ni ushindi halisi, kwa muda halisi.

Kwa hivyo, ikiwa unatafuta fursa ya kugeuza kila mzunguko kuwa ushindi, Playson Short Races ni jibu lako. Zawadi ya bilioni 6 inasubiri washindi wa kweli. Je, wewe ni mmoja wao?

Usikose nafasi hii ya kipekee. Ingia sasa, shindana na maelfu ya wengine na uandike jina lako kwenye orodha ya washindi wa mamilioni.

Michezo ya kasino ya mtandaoni kukupatia mamilioni leo. Cheza Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Jumal ya zawadi kwenye Promosheni hii ni shilingi Bilioni 6 ambayo itatolewa kama ifuatavyo,

  • Julai- Novemba 2025: Takribani 450,000,000 TZS kwa mwezi
  • Desemba 25 na Januari 2026 : Takribani 750,000,000 TZS kwa mwezi
  • Februari-Juni 2026: Takribani 450,000,000 TZS kwa mwezi

Ndugu mteja ili uweze kushiriki vyema na kikamilifu kwenye promosheni hii ya Playson Short Races lazima uweke dau lako ambalo si chini ya shilingi 600. Lakini pia unaweza ukaweka zaidi ya pesa hiyo na kucheza michezo inayoshiriki kwenye kampeni hiyo.

SHERIA ZA PROMOSHENI HII

  • Inapatikana kwenye mfumo wa pesa halisi
  • Dau la chini ni shilingi 600 TZS
  • Kila ushindi unachangia kwa alama za mchezaji kwenye orodha ya washindi

ZAWADI ZA WASHINDI

  • Zawadi za pesa zitakabidhiwa kwenye akaunti za wachezaji ndani ya saa 72 baada ya kumalizika kwa promosheni
  • Thamani zote zinategemea EURO, na zitabadilishwa kuwa TZS kwa kiwango cha 3000
  • Viwango vya kubadilisha fedha vitawekwa masaa 72 kabla ya mashindano kuanza
  • Playson ina haki ya kubatilisha matokeo au kufuta zawadi kutokana na makosa ya kiufundi au udanganyifu wowote.

Michezo ambayo inashiriki kwenye promosheni hii ya Playson Short Races ni kama ifuatavyo. Ipo mingi sana lakini hii ni baadhi ambayo unaweza ukaweka dau lako na kuanza kuicheza. Buffalo Power, 3 Magic Lamps,  Burning Fortunator, Fire Coins, 3 Carts of Gold, Arizona Heist, Clover Charm, Solar Queen na mingine kibao.