
CHAMA CLATOUS ATAJWA KUONDOKA YANGA SC
INAELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga SC ambaye aliibuka hapo akitokea Simba SC, Clatous Chama huenda akaondoka ndani ya timu hiyo baada ya mkataba wake kugota mwisho. Mbali na Chama kusepa Yanga SC taarifa za kuaminika kutoka ndani ya Yanga SC zimethibitisha kuwa, timu hiyo imefikia makubaliano ya kuachana na mastaa wao wengine wa ushambuliaji…