
CHAN MAMBO YANAZIDI KUPAMBA MOTO, WACHEZAJI WAELEKEA MISRI
KIKOSI cha Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Julai 08 2025 kiliingia kambini Dar es Salaam kisha alfajiri ya kuamkia Julai 9 kimekwea pipa kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kambi ya wiki tatu. Hivyo kuelekea CHAN mambo ni moto na maandalizi yanaendelea kwa kasi ikiwa ni mwendelezo wa ukarabati wa Uwanja wa Mkapa…