Meridianbet inawapa wachezaji fursa ya kipekee ya kushiriki Lucky Rush Tournament, promosheni ya kusisimua iliyoanza tarehe 27 Juni hadi 3 Agosti 2025. Promosheni hii inatoa zawadi za pesa taslimu TZS 1.5 bilioni, zikigawanywa katika mashindano matano ya leaderboard, kila moja ikiwa na TZS 300 milioni kwa washindi 5,000.
Ili kushiriki, wachezaji wanahitaji kujiandikisha (opt-in) kwa kila leaderboard kwenye tovuti au app ya Meridianbet, kwani ushiriki si wa moja kwa moja. Hakuna kiwango cha chini cha dau kinachohitajika, na kila spin inaweza kukuletea pointi kulingana na uwiano wa ushindi dhidi ya dau lako. Kwa mfano, dau la TZS 5,000 likishinda TZS 250,000 litakupa pointi 50. Kila leaderboard itazingatia spins 25 bora za kila mchezaji kati ya 5,000 zinazoruhusiwa, kwa hivyo lenga ushindi mkubwa wa spin moja ili kupanda juu.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Michezo inayochezwai inajumuisha sloti za Playtech kama Age of the Gods: King of Olympus, Fire Blaze: Pharaoh’s Daughter, Cash Collect, Breaking Bad: Cash Collect, na Mega Fire Blaze: Wild Pistolero. Zawadi zote zinazotolewa zipo kwenye mfumo wa pesa taslimu zisizo na masharti ya kuchezwa tena, zinazoweza kutolewa mara moja. Ikiwa kuna sare ya pointi, mchezaji aliye na spins nyingi zilizobaki au aliyepata pointi mapema atachukua nafasi ya juu.
Hii ni nafasi yako ya kugeuza spins kuwa mamilioni. Tembelea meridianbet.co.tz au pakua app ya Meridianbet, jisajili kwenye leaderboard, na anza kucheza sloti zako za Playtech leo ili uwe mshindi katika Lucky Rush Tournament.