SAMSUNG A25 NI YAKO! BASHIRI NA USSD

Kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet imezindua promosheni mpya inayowapa wateja wake nafasi ya kujishindia simu ya kisasa aina ya Samsung A25. Kupitia huduma ya USSD, kila mchezaji anaweza kubashiri mechi za ligi mbalimbali bila intaneti, kwa kupiga *149*10# moja kwa moja kwenye simu.

Promosheni hii ni ya mwezi mmoja pekee ambayo imeanza tarehe 01 Julai na mwisho wake itakua ni tarehe 31 Julai huku nafasi ya wewe kujishindia Samsung A25 ikiwa nje nje.

Samsung A25 ni kifaa chenye uwezo mkubwa wa kamera nzuri, na muundo wa kisasa. Meridianbet inaleta promosheni hii kama njia ya kuwashukuru wateja wake kwa uaminifu wao na kuendeleza ushindani wa haki na furaha katika ulimwengu wa michezo ya kubashiri.

Mteja wa Meridianbet ili ashiriki kwenye kampeni hii ni lazima kwanza awe anatumia USSD au kitochi kwenye kufanya ubashiri mechi zake ambazo anazipenda kutoka kwenye ligi yoyote ile.

Piga pesa kirahisi, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Meridianbet inasema kuwa simu ambazo zinatolewa zipo 4 pekee ambapo kila Jumatano kutakuwa na droo ya kuwapata washindi. Unaweza kuwa moja ya washindi ambao watafika moja kwa moja makao makuu ya Meridianbet jijini Dar es salaam kwaajili ya kujipatia simu zao.

Kumbuka pia wakati ukiwa unabashiri mechi zako lazima zianzie mechi 3 na kuendelea ndipo tiketi yako itahesabiwa kwenye washindi. Ni rahisi sana suka jamvi lako ambapo ndani ya Meridianbet mechi zipo kibao tena zenye ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000.

Meridianbet inasisitiza kuwa tiketi ambazo zitakuwa na TURBOCASH zitakuwa batili hazitahesabiwa, hivyo mchezaji akibashiri mechi zake inabidi asubiri mechi zimalizike ndipo tiketi zake zitahesabiwa kwenye watu wanaojishindia Samsung A25.