
BEKI YANGA SC MKATABA WAKE UMEKWISHA, ATAJA ATAKAPOSAINI
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga SC Dickson Job huenda akaongeza kandarasi nyingine ndani ya kikosi hicho. Nyota huyo mkataba wake msimu wa 2024/25 unagota mwisho. Kwa sasa bado hajaongeza mkataba mwingine na inaelezwa kuwa mazungumzo yameanza kwa pande zote mbili. Juni 29 2025 ulikuwa ni mchezo wa mwisho kwa msimu wa 2024/25…