REAL MADRID VS JUVENTUS KUKUPATIA MSHIKO MARA 2 LEO

Real Madrid vs Juventus  ni mechi kali leo hii ya kutazama lakini huku ukiwa unaitazama inakupa pesa. na GG&3+ mtanange huu ujiweke kwenye nafasi ya kupata bonasi hadi shilingi 60000 leo.

Jinyakulia bonasi ya kibabe ya elfu 60000 endapo utasuka jamvi lako hapa na kubashiri mechi ya Real Madrid vs Juventus za kule Italia .Nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa Mbappe na wenzake kwa ODDS 1.87 kwa 4.30. Suka jamvi hapa.

Juventus wana kocha mpya ambaye ni Tudor na amekuja kuhakikisha kuwa wanachukua Kombe hili la Dunia ngazi ya vilabu. Je watafika wapi kwenye michuano hii?

Real Madrid ambao wanakipiga katika ligi kuu ya Hispania nao wanataka kuonesha ubabe wao dhidi ya Juventus . Timu hii ilichukua ubingwa wa ligi kule kwao msimu jana ambapo msimu huu mambo yakawa magumu kwa upande wao.

Pia Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII

  •                             Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
  •                             Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 01 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
  •                             Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Real Madrid  vs Juventus kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1

Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Real Madrid  vs Juventus  kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Real Madrid vs Juventus  lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2

Kama mchezo wa Real vs JuventuS  ukimalizika 0-0

  •                 Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.
  •                 Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.