
YANGA SC KINATOKA CHUMA KINAINGIA CHUMA
RAIS wa Yanga SC, Hersi Said ameweka wazi kuwa kwenye kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi kinatoka chuma kinaingia chuma. Juni 29 2025, Yanga SC ilitwaa taji la CRDB Federation Cup kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida Black Stars kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa New Amaan Complex. Walirejea Dar, Juni 30…