FAINALI YA MOTO: PSG NA INTER MILAN KITAWAKA KESHO ALLIANZ ARENA!

Msimu wa UEFA unaendea ukingoni ambapo kesho tutashuhudia Fainali ya wababe wawili kutoka Ufaransa na Italia, yaani ni PSG vs Inter Milan, huku wewe ukiwa na nafasi ya kuchukua pesa kwa kubashiri mechi hii itakayopigwa pale Ujerumani dimba la Allianz Arena.

Inter Milan msimu huu walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuchukua Scudetto lakini walishindwa baada ya kuzidiwa pointi 1 pekee na Napoli ambayo ndiye bingwa wa SERIE A, lakini pia ikumbukwe kuwa vijana hawa wa Simone Inzaghi pia walishindwa kuchukua Coppa Italia baada ya kupigwa na watani wao AC Milan, hivyo hili ndilo kombe pekee ambalo wanalitazama kwa hali na mali.

Wakali wa ubashiri, Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Psg kwa ODDS 2.27 kwa 3.50. Lakini pia mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili na ubashiri mtanange huu.

Mechi ya fainali ya UEFA Psg vs Inter Milan kukupatia maokoto leo. Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

PSG kutoka kule Ufaransa ndio mabingwa wa LIGUE 1 lakini pia timu hiyo imeweza kuchukua kombe la Ufaransa hivyo malengo yao hadi sasa ni kuchukua na UEFA ili waweze kukamilisha TREBLE.

Wababe hawa wa Ufaransa mara ya mwisho kucheza Fainali ya Ligi ya mabingwa ilikuwa ni 2020 ambapo walicheza dhidi ya Bayern na wakapoteza kwa bao 1-0 kule Ureno, bao la Kingsley Koman dakika ya 59 licha kupata nafasi na kushinda kuzitumia.

Kipindi hicho Paris wlaikuwa chini ya kocha mkuu Thomas Tuchel, lakini kwasasa wapo chini ya kocha mkuu Luis Enrique ambapo pia klabuni hapo kuna ingizo la wachezaji wapya akiwemo Ousman Dembele, Vitinha, Bradley, Barcola, Fabian na wengine wengi.

Wakati kwa Inter wao mara ya mwisho kucheza fainali ya UEFA ilikuwa 2023 ambao nao pia walipoteza kwa 1-0 dhidi ya Manchester City pale Uturuki bao lililofungwa na Rodri dakika ya 68  pekee. Inter wameshinda taji la Uefa mara 3 huku endpao kesho wakichukua itakuwa ni mara ya 4.

Kikosi hiki cha Inter Milan wachezaji wengi ambao walicheza fainali ya mwisho wapo, hivyo inakuwa rahisi kwao kutambua nini wanataka kesho.

PSG hawajawahi kuchukua kombe hili kabisa tangu lianzishwe huku kesho ndio nafasi yao pekee ya kulichukua mbele ya vijana wa Inzaghi. Odds za kuvutia utazipata Meridianbet pekee leo.

Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mbili hazijawahi kukutana kwenye mashindano makubwa, bali wamekutana kwenye mechi za kirafiki tuuh huku Inter akishinda mechi 1, PSG akishinda 2 na sare moja pekee.

Je ni PSG au Inter Milan kuondoka na ushindi pale Allianz Arena kesho?