YANGA SC YAMTAJA SILLAH NA FEI

NYOTA wawili kutoka Azam FC ambao wanatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga SC wametajwa na bosi wa kutoka mitaa ya Jangwani. Ni Feisal Salum kiungo mshambuliaji ambaye ni kinara kwa utengenezaji pasi za mwisho akiwa nazo 13 na Giblil Sillah mwenye pasi mbili za mabao. Mbali na pasi mbili za mabao alizonazo Sillah…

Read More