Mabingwa wa Odds kubwa Tanzania Meridianbet wamekupa nafasi kubwa leo hii ya kupiga pesa kwenye mechi ya fainali ya Conference League kati ya Real Betis vs Chelsea. Unasubiri nini kubashiri mechi hii?
Real Betis ambao wanakipiga kule LALIGA wao wamemaliza nafasi ya 6 huku wakiwa hawajawahi kuchukua Kombe lolote lile la Ulaya hivyo leo hii nao wnaataka Kombe hili waandike historia yao.
Meridianbet wamempa Chelsea nafasi kubwa ya kushinda mechi hii ya leo kwa ODDS 1.95 kwa 4.30. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwa timu hizi mbili?. Jisajili na usuke jamvi sasa.
Betis chini ya kocha mkuu Manuel Pellegrin kwenye mechi zao 5 za mwisho kwenye mashindnao yote wametoa sare mechi moja pekee na kupoteza mechi moja, huku The Blues wao mechi 5 za mwisho ameshinda 4 na kutoa sare 1.
Kwa upande wa Chelsea ambao wanashiriki ligi kuu ya Uingereza EPL wamemaliza nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi huku tayari wakiwa wameshapata nafasi ya kushiriki UCL msimu ujao baada ya kushinda mechi ya mwisho.
Vijana hao wa Stamford Bridge chini ya kocha mkuu Enzo Maresca watarajiwa kushuka dimbani siku ya leo kupambania Kombe hilo ambalo hawajawahi kulichukua kwani tayari kwenye yale makombe yote makubwa ya Ulaya wameshachukua, ikiwemo Kombe la UEFA, EUROPA, SUPER CUP hivyo leo hii wanaenda kuandika historia nyingine.
Mechi ya fainali ya Conference league Real Betis vs Chelsea kukupatia maokoto leo. Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mara ya mwisho kukutana, ilikuwa mwaka 2005 kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa ambapo mechi ya kwanza Chelsea walishinda 4-0, na mechi ya pili Betis walishinda 1-0, yaani kila mtu alishinda mechi ya nyumbani kwake.
Ikumbukwe kuwa Betis walimchukua Antony kwa mkopo kutoka Manchester United ambaye mpaka sasa akifunga magoli 9 na assist 5 ndani ya klabu hiyo, hivyo akiwa ni mchezaji wa kuchungwa sana leo.
Pia mteja wa meridianbet loe hii unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa
Kwa upande wa Blues wao wana wachezaji wenye uzoefu mkubwa huku wengine ikiwa leo hii ndiyo fainali yao ya kwanza akiwemo Cole Palmer, Enzo, Caicedo, Neto Cucurella na wengine.
Mara ya mwisho Chelsea kuchukua Kombe la Ulaya ilikuwa mwaka 2022, ambapo ilikuwa kombe la FIFA CLUB WORLD CUP baada ya kuifunga Palmeiras ya Brazil. Lakini baada ya hapo Chelsea walifika fainali ya Carabao na walipoteza mbele ya Liverpool.
Je leo hii nani kubeba kombe hili ni Uingereza au Hispania?. Bingwa mtetezi wa kombe hili ni Olympiacos.