Simba SC 1-0 Singida Black Stars, Mei 28 2025
Simba SC imevuna pointi tatu kwenye mchezo wa ligi mzunguko wa pili dhidi ya Singida Black Stars, Mei 28 2025, Uwanja wa KMC Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba SC 1-0 Singida Black Stars ikiwa ni mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa kwa wababe hawa wawili. Bao pekee la ushindi limepachikwa na Steven Mukwala…