SIMBA SC KAMILI KUIVAA SINGIDA BLACK STARS

SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba SC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya Singida Black Stars ambao ni mzunguko wa pili. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Liti baada ya dakika 90 ubao ulisoma Singida Black Stars 0-1 Simba SC. Bao la ushindi kwenye mchezo huo…

Read More