KIKOSI CHA RS BERKANE DHIDI YA SIMBA SC

RS Berkane kutoka Morocco itakuwa Uwanja wa New Amaan Complex kwenye mchezo wa fainali ya pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba SC ya Tanzania, saa 10:00 jioni.

Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:-

 Munir El Kajoui

 Hamza Moussaoui

 Adil Tahif

 Yassine Lebhiri

 Issoufou Dayo

 Mamadou Camara

 Youssef Mehri

 Yassine Lebhiri

 Oussama Lamlioui

 Ayoub Khairi

 Imad Riahi

Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa kwanza ugenini Simba SC ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 hivyo kazi yao leo ni kulinda ushindi wao.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu itazinduliwa rasmi Julai 24 2025 usipange kukosa.