
LIVE: SIMBA SC 1-0 RS BERKANE, FAINALI, MEI 25 2025
Uwanja wa New Amaan Complex Simba SC 1-0 RS Berkane, (Agregate 1-2) Dakika ya 41 Joshua Mutale anachezewa faulo na Ayoub wa RS Berkane ambaye anaonyeshwa kadi ya njano. Fadlu Davids Kocha Mkuu wa Simba SC na Seleman Matola, kocha msaidizi wa Simba SC, Shomari Kapombe beki wa Simba SC wameonyeshwa kadi kila mmoja ya…