
SIMBA SC KAMILI KWA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO MEI 25 2025
SIMBA SC wamebainisha kuwa wapo tayari kwa mchezo wa pili wa fainali dhidi ya RS Berkane licha yakupoteza kwenye mchezo wa fainali ya kwanza wakiwa nchini Morocco. Ikumbukwe kwamba Mei 17 2025 kwenye mchezo wa hatua ya fainali ya kwanza baada ya dakika 90 ubao ulisoma RS Berkane 2-0 Simba SC, mchezo wa pili unatarajiwa…