• Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amefunguka kuhusu mkataba wa Ellie Mpanzu.
• Ellie Mpanzu anatajwa kuwa kwenye rada za timu mbalimbali kutokana na kiwango ambacho amekionyesha.
• Clatous Chama, Jonas Mkude wametajwa namna hii