Skip to content
May 15, 2025
  • ATLETICO NA BARCA KUWASHA MOTO LALIGA LEO, TUSUA MPUNGA HAPA
  • SIMBA SC YASUBIRI TAMKO RASMI LA CAF KUHUSU UWANJA WA FAINALI YA CAFCC DHIDI YA BERKANE
  • MAMELODI SUNDOWNS WABEBA UBINGWA WA LIGI KUU AFRIKA KUSINI KWA MARA YA NANE MFULULIZO
  • ROBERTINHO AWASILISHA MALALAMIKO FERWAFA AKIDAI DOLA 20,000

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • May
  • 15

May 15, 2025

  • Sports

ATLETICO NA BARCA KUWASHA MOTO LALIGA LEO, TUSUA MPUNGA HAPA

Saleh4 hours ago04 mins

Alhamisi ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza na LALIGA Atletico Madrid watakuwa ugenini kusaka ushindi ya CA Osasuna ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Atletico wao wametoka kutoa kipigo kizito mechi yao…

Read More
  • Sports

SIMBA SC YASUBIRI TAMKO RASMI LA CAF KUHUSU UWANJA WA FAINALI YA CAFCC DHIDI YA BERKANE

Saleh4 hours ago01 mins

Baada ya taarifa nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu CAF kupitia barua yao ya kuwaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa Fainali ya Pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane upigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar. Timu ya Simba SC, imetoa Taarifa rasmi kuhusu uwanja wa mchezo wa marudiano wa fainali ya…

Read More
  • Sports

MAMELODI SUNDOWNS WABEBA UBINGWA WA LIGI KUU AFRIKA KUSINI KWA MARA YA NANE MFULULIZO

Saleh8 hours ago01 mins

Mamelodi Sundowns ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini kwa msimu wa 2024/25 kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Chippa United usiku huu huku wakifikisha 70 baada ya mechi 27. Kikosi hicho kinachonolewa na Miguel Cardoso kimetwaa ubingwa wa Ligi hiyo kwa mara ya 8 mfululizo na msimu huu wamefunga jumla ya magoli 63…

Read More
  • Sports

ROBERTINHO AWASILISHA MALALAMIKO FERWAFA AKIDAI DOLA 20,000

Saleh8 hours ago3 hours ago01 mins

Kocha Robertinho ambaye hivi majuzi alisimamishwa na Rayon Sports kwa sababu za kimatibabu, amewasilisha malalamiko kwa Chama cha soka cha Rwanda (FERWAFA) akitaka kulipwa Dola za Kimarekani 20,000 Mshahara wa miezi minne. Kocha huyo tayari ameiandikia barua FERWAFA akiomba kulipwa mishahara ya miezi minne sawa na Dola 20,000 na ndani ya wiki tatu kabla ya…

Read More
  • Sports

CHEZA NA UPIGE MAMILIONI SLOTI YA 40 LUCKY SEVENS

Saleh13 hours ago8 hours ago03 mins

Meridianbet unawekeza mtaji mdogo na baadae matunda yake unakuwa bilionea wa maisha yako kwa kucheza mchezo wa kasino ya mtandaoni unaitwa 40 Lucky Sevens unahusu matunda ambapo na unatoa ushindi kila hatua. Jisajili Meridianbet ufurahie ushindi huu. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma “Game Art“. Utapenda…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2025. Powered By BlazeThemes.