KOCHA NAMUNGO FC AFUNGUKIA KUPOTEZA MBELE YA YANGA SC
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amefungukia ishu ya kupoteza mbele ya Yanga SC, mchezo wa ligi uliochezwa Mei 13 2025 Uwanja wa KMC Complex kwa ubao kusoma Yanga SC 3-0 Namungo FC.
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amefungukia ishu ya kupoteza mbele ya Yanga SC, mchezo wa ligi uliochezwa Mei 13 2025 Uwanja wa KMC Complex kwa ubao kusoma Yanga SC 3-0 Namungo FC.
WINGA wa Simba SC ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya kikosi hicho kinachotarajiwa kucheza mchezo wa hatua ya fainali dhidi ya RS Berkane, Mei 17 2025 anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga SC kutokana na taarifa kueleza kuwa yupo hapo kwa mkopo. Baada ya taarifa hizo kuenea uongozi wa Simba SC umebainisha kuwa hakuna…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umebakiwa na mechi mbili za Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 mara baada ya kucheza dhidi ya Namungo FC, Mei 3 2025. Katika mchezo huo ambao unakuwa ni wa 27 kwa Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 3-0 Namungo FC…
MCHEZO wa mzunguko wa pili uliochezwa Uwanja wa KMC Complex baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga SC 3-0 Namungo FC huku jasho likiwavuja wachezaji kwenye kutimiza majukumu yao. Hapa tunakuletea baadhi ya walichokifanya wachezaji wa timu zote mbili katika kutimiza majukumu yao ilikuwa namna hii:- Djigui Diarra Djigui Diara alisepa na dakika 90 na…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamekomba pointi tatu mazima kwa kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Mei 13 2025, Azam Complex. Lusajo Mwaikenda alifungua ukurasa dakika ya 6, Abdul Sopu bao la pili dakika ya 17, Gibril Sillah bao la tatu dakika ya 20, Nasor…
YANGA SC imevuna pointi sita mbele ya wapinzani wao Namungo FC kwa kupata ushindi kwenye mechi zote mbili ambazo walikutana ndani ya uwanja katika dakika 180 za kusaka pointi. Ikumbukwe kwamba Mei 13 2025 ulikuwa ni mchezo wa mzunguko wa pili baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma Yanga SC 3-0…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa kadri wapinzani wao wanavyozidi kuchelewa kucheza na timu hiyo watakutana na wachezaji wakiwa kwenye ubora mkubwa zaidi ya sasa. Mchezo unaofuata kwa Simba SC kwenye ligi ni dhidi ya Yanga SC unaotarajiwa kuchezwa Juni 15 2025 baada ya Bodi ya Ligi Kuu…
Sloti ya Book of Eskimo Uwezo wako wa kuhimiri mazingira yenye baridi ndivyo unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kukusanya pesa kila dakika, haya yote unayapata unapocheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Sloti ya Book of Eskimo ndani ya Kasino ya Meridianbet ni chimbo la kijanja linalotoa mkwanja kwa wachezaji wa kasino ya mtandaoni, kila muda…