
VIDEO: ISHU YA CAMARA KUFUNGWA BOSI AFUNGUKA/ JOSHUA MUTALE
KIPA namba moja wa Simba SC Moussa Camara kwenye mechi nne ambazo amekaa langoni ndani ya Mei katunguliwa mabao matatu akiruhusu bao moja kwenye mechi tatu akikwama kusepa na clean sheet katika mchezo dhidi ya Pamba Jiji dakika ya 86 huku mbele ya KMC dakika ya 6 na Mashujaa dakika ya 6. Joshua Mutale kiungo…