
SIMBA KUELEKEA MOROCCO KWA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Kikosi cha klabu ya Simba Sc kitaondoka Nchini kesho Mei 13, 2025 saa 11:00 Alfajiri kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane utakaopigwa Mei 17, 2025 huko Berkane, Morocco. Akizungumza leo Mei 12, 2025 kwenye mkutano na waandishi wa habari, Meneja…