UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa taarifa iliyotolewa na watani zao wa jadi Yanga SC kueleza kuwa kuna timu inayopendelewa kama wangetajwa wangelivaa suala hilo huku wakiwaomba wawe wawazi kutaja timu ambayo inapendelewa kwani watani hao wa jadi wametupa jiwe gizani.